Rahisi rahisi namna hiyo Usa kulianzisha na huyo dogo labda awe amechanganyikiwa ndiyo anaweza kuanzisha vita na N korea lakini hivi wataishia kupiga biti tu Usa anajua kabisa dogo hayuko pekee yake RUSSIA NA CHINA wanajifanya kulaani matendo ya dogo ya makombora yake kinafiki tu huku nyuma wakiwa na agenda zao wakisubiri mtu atie pua hapo walipize kisasi usishangae kikinuka kiduku hana cha kupoteza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.