Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Ww ni msomi
Ilikuwa mwaka 1999, Rwanda na Uganda walikuwa DRC walitaka kumtoa Laurent Kabila madarakani. Baadae wakageukana wao kwa wao, mwisho Uganda akazidiwa na kukimbia.Kagame ni mtoto wa uganda, atapigana vipi na nchi iliyomlea mpaka akaupata urais wa rwanda na rpf yake?
Nakumbuka hii vita 1999. Rwanda akamchapa Uganda mpaka akakimbia Kisangani.
Ilikuwa mwaka 1999, Rwanda na Uganda walikuwa DRC walitaka kumtoa Laurent Kabila madarakani. Baadae wakageukana wao kwa wao, mwisho Uganda akazidiwa na kukimbia.
kumbe! Nilidhani walipagana kwa kuvamiana nchi kwa nchi badala ya kwenda kupigania kwenye nchi nyingine. Wakipigana nchi kwa nchi rwanda ananyukwaIlikuwa mwaka 1999, Rwanda na Uganda walikuwa DRC walitaka kumtoa Laurent Kabila madarakani. Baadae wakageukana wao kwa wao, mwisho Uganda akazidiwa na kukimbia.
Kisangani nako Rwanda akapigwa na AngolaNakumbuka hii vita 1999. Rwanda akamchapa Uganda mpaka akakimbia Kisangani.
Humu imeandikwa vzr sana watafute uzi unaitwa Operesheni kitonaWatu hawaelewi hii story
Tafuta uzi unaitwa operesheni kitona..vita iliitwa Congo war 2 in kisanganiWw ni msomi
Hii nchi ya dr congo ni nchi kubwa lakini ni ya kijinga sana! Nchi kubwa kama hiyo inavamiwaje na majeshi ya nchi zingine kupigana katika ardhi yake? Eti nchi kubwa kama tanzania mipaka yake yaingie majeshi ya nchi zingine yaanze kupigana huko, sasa si itakuwa nchi ya kijinga? Tz isiwe kama congo mipaka yake kuchezewa na waasi pamoja na majeshi ya kigeni huo ni ujinga wa kutokulinda mipaka yake kwa ulinzi imara
Hebu muambie hajui vita huyuKiongozi unajua vita??
Kama magaidi wanaweza ishi ndani ya nchi na kua had na matank , silaha za kutosha unashangaa nn drc
boko haramu nigeria wana had vifaru. vya vita
Alshababu somalia
Alshabab linked Mozambique
RSF Sudan
mifano n mingi