Vita inanukia South Sudan

Mkuu, hayo ni maneno yako naona umeamua kujifurahisha tu na kujifariji
 
Kwa Bashir na Ghadhafi hatua za haraka zitachukuliwa dhidi yao.Mambo kama haya hatuyaoni kwa Mexico wala Korea ya Kaskazini.
Mimi nadhani Bashir awe mwiba kama Ghadhafi na Bashar kutetea wanachoona kina manufaa kwa watu wao.

Sawa al qaida.. na wewe uzikwa baharini kama Osama tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…