Hakuna uhusiano wa ulichoandika na mada hapo juu.If you did not know, the bourgeoisies from both opposing sides wanalenga NWO --- come rain, come sunshine --- one system of governance worldwide has to be put in place (installed). Wars, diseases, pandemics, poverty, polarization, wordviews, ideological differences and the like are the nourishing FOODS the feed this ^marvelous^ impending monster of all time.
Bora ungeuliza vina uhusiano gani na main topic ya uzi kuliko kufikiri tu kuwa havina uhusianoHakuna uhusiano wa ulichoandika na mada hapo juu.
Mkuu,NWO itaendelea kubaki kwenye nadhalia za gege dogo la wazungu wachache wa magharibi wenye akili fyatu.If you did not know, the bourgeoisies from both opposing sides wanalenga NWO --- come rain, come sunshine --- one system of governance worldwide has to be put in place (installed). Wars, diseases, pandemics, poverty, polarization, wordviews, ideological differences and the like are the nourishing FOODS the feed this ^marvelous^ impending monster of all time.
Mkuu,NWO itaendelea kubaki kwenye nadhalia za gege dogo la wazungu wachache wa magharibi wenye akili fyatu.
Uwendawazimu huo hauwezi kutekelezwa ndani ya zama hizi,labda kama ingekuwa miaka ishirini iliyo pita wakati Taifa la Urusi likiwa kwenye hali mbaya kijeshi na kiuchumi, vile vile na Taifa la Uchina likiwa weak kwenye nyanja zote (uchumi na kijeshi) phase hiyo ya sintofahamu imekwisha pitwa na wakati - hivi sasa hakuna Taifa lolote la magharibi lenye uwezo wa kutelekeza ujinga wa so called NWO mataifa yao yakabaki salama - watanyukwa vilivyo na Warusi na Wachina turnig US and European Nations into thermonuclear wasteland - na kwa bahati mbaya si USA wala mataifa ya Ulaya yenye uwezo wa kujikinga/jihami dhidi ya makombora ya kisasa ya Urusi na Uchina, as I said should NATO try Putin and Ti Xing Ping patience kwa mambo yao ya NWO basi wakae wakijuwa kwamba Mataifa ya magharibi yatalipuliwa back to stone age era it shall be lightening fast kiasi cha kwamba viongozi na raia wa magharibi hawatakuwa na enough time ya ku-repent madhambi yao.
I hope you read me well. Nowhere ambapo nimsema NWO MUST ACTUALLY MATURE sometimes in the future. What I actually said: Watu wanachimba ili kuingia ndani ya shimo refu ilimotumbukia shilingi, wakiwa na matumaini ya kuipata -- hata kama hilo halowezekani. Also, huu si mkakati wa kukamilisha kesho asubuhi. Kila mtawala anashurutishwa kupiga japo hatua kiduchu towards the goal. Lastly, the super- and hyper-powers wanaweza kuwa maadui hasidi & hasimu kabisa, at least physically, lakini CONTROLA & controler behind the scene ni walewale BOURGEOISIES wanaoafikiana na wenye malengo fanani.