Wadau, tafadhari naomba msaada kwa mtu mwenye visio drawing software unisaidie, au hata kama unaijua website ninayoweza kudownload ninaomba unisaidie, ninaihitaje kwaajili ya kuchorea DFD (data flow diagrams). natanguliza shukrani zangu wakuu.
Ukiwa na MS Office 2013 inakuja na full package including Visio. Kanunue Office 2013.
Visio naitumia sana for creating process flows/swim lanes. Ni poa sana