pole mkuu nilipata shida hiyo kwa miaka mingi nilitibiwa na Dr.Aisha Kigoda ila sikumbuki ni dawa gani aliniandikia.Habari wanajamii forum,
naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida,
Hili tatzo ni linajirudia kila nikikaa au kulala na kuamka. Naomba msaada tatzo ni nn?
Aksanten sana.
MKUU hata mimi nina tatizo hilo,ukipata tiba na mimi nifahamishe!Habari wanajamii forum,
naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida,
Hili tatzo ni linajirudia kila nikikaa au kulala na kuamka. Naomba msaada tatzo ni nn?
Aksanten sana.
ASANTETumia newrobian nenda duka la madawa hata mimi ilinitokeaga nikawekaga uzi hapa jf sikupata msaada naenda hosp nikapewa dawa ambazo hazikunisaidi kwabahati nzuri nilikutana na mama mmoja dakt mstaafu nikamweleza akaniambia nitumie hizo dawa tena zinauzwa buku mbili tu, hadi leo sisikii tena maumivu.
Mkuu ulishapona visigino?ASANTE
NDO NILIKUWA NATAFUTA DAWAM
Mkuu ulishapona visigino?
Naomba nikuulize maswali.NDO NILIKUWA NATAFUTA DAWA
Naomba nikuulize maswali.
1. Je huwa una vaa viatu virefu?
2.Au huwa unapenda kuvaa viatu vya wazi na visigino vikatokeza kwa nyuma? Nijibu nikuelekeze dawa mbili rahisi zitakazo kusaidia
Bora uni jibu hata kwa pm mkuu Kama ni ngumu kujibu hapa jamviniMkuu, kama ikiwa ni hivyo dawa ni ipi??