Visa ya Singapore

TzPride

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Posts
2,616
Reaction score
1,171
Waheshimiwa,

Natarajia kusafiri kwenda Singapore hapo karibuni, naomba mtu ambaye ajaua taratibu za kupata visa ya kwenda huko maana hawana ubalozi hapa bongo.

Nitashukuru kupata ushauri huo.

Wenu,
TzPride.
 
Kama una passport Tanzania Malaysia na Singpore huhitaji visa Mkuu,kata tiketi yako upae!
 
Nashukuru wakubwa kwa michango yenu.
Keep it up!
 
 
 
 
vipi air ticket ya singapore how much?return ticket?

Return tiketi si zaidi ya dola 1300 (Sina uhakika sana kwa hapa, maana kwangu it was back 2005), lakini nenda pale Haidery Plaza, kuna mawakala wa ndege za Singapore wako poa siyo wababaisha.
 
Kadi ya chanjo nina ya 2003 nadhani bado haija-expire

nashukuru sana wakuu, nimepata maelekezo ya kutosha sasa.
 
Nadhani wakuu kadi mnazozungumzia hapa ni zile za yellow fever kama sikosei,coz tuko katika zone ya huu ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…