Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,271
- 9,415
NAMCHUKIA SANA MKE WANGU:
Huyu bwana alipofika nyumbani kwake akitokea kazini,akaangalia simu yake akaona inaita,kuchek kumbe ni namba ya mkewe na wakati huo wanaangaliana maana ameshafika ndani,mkewe yuko kwenye kochi sebuleni.
"Aaah sasa mbona unanipigia wakati nishafika mke wangu!"
"Wewe si unajifanya una akili nyingi kunizidi,sawa endelea na hiyo tabia!" Tangu mchana simu yako haipatikani umekuja kuiwasha ulipokaribia kufika ndani!Mke alijibu kwa ukali,huku jamaa akitikisa kichwa kuonyesha kumsikitikia mkewe maana hakupaswa kumlaumu wakati ndio kwanza alikuwa akifika.......
"mke wangu kwani umeniuliza kuna tatizo gani mpaka unanilaumu kwa kunihukumu namna hiyo?kwanini usiniulize kwanza habari za kazi?
Kwanini usiniulize kulikwendaje kazini?
Kwanini usinipokee kwanza niandalie maji nioge?
Hivi unajua ni kiasi gani nimechoka?
Mbona unaniongezea mzigo mzito zaidi?
Ha! yaani unataka wewe uandaliwe maji uondoe uchovu,uchovu gani kama sio uchovu wa kulala na mahawara wako huko???simu ulifunga yanini??
Jamaa ilibidi aishiwe maneno japo alikuwa na majibu
Ni kwamba simu za mkewe zinamchosha kiasi kwamba anapokuwa mbali nae anaona ni afadhari afunge simu.
Ulipofika muda wa kulala mke aliongea usiku mzima na mumewe alinyamaza kimya tu. kile kitendo cha kunyamaza kimya mwanamke alikitafsiri kama dharau kubwa kwake.....ilibidi alale.
ASUBUHI NA MAPEMA MWANAMKE ALIAMSHA DUDE TENA.
Jamaa akawahi kuamka ajiandae kwenda kazini
Naomba unijibu maswali yangu yote ya jana usijifanye kuondoka kinyemela hivi ninini hatma ya ndoa yetu mbona hueleweki wewe mwanaume! Mimi kwako ninani?unanichukuliaje?ninani hao wanaokupa hiyo jeuri kiasi kwamba umeanza kunidharau kiasi hicho?
Jamaa hakujibu hata neno moja badala yake akafungua mlango akawa anatoka
Ile kufungua mlango mwanamke akamshika mkono asitoke,jamaa akatumia nguvu akatoka nje akielekea kwenye gari yake,mke akamwambia huondoki hapa ndani
Mume-nitaondoka na hutaamini,nadhani hujawahi kuniona natumia nguvu zangu umenizoea wewe mwanamke ,na usinifundishe kukutandika,sina records za kupiga,hata wadogo zangu wanajua sijawahi kuwapiga......jamaa akaita mlinzi afungue geti,geti lilipofunguliwa mke akaenda kusimama mbele ya gari......nimekwambia Leo hutoki lasivyo nigonge nife tu jamaa akamwambia,
Ondoka mbele ya gari,akaanza kuhesabu
Moja ondoka! Mke "siondoki"
Mbili ondoka! Mke "siondoki"
Tatu ondoka! Mke "sitokiii"
Jamaa akakanyaga mafuta gari ikaanza kuja mwilini mwa mwanamke.........mke wacha akimbie buana!
Hasira zote zikaishia kwa mlinzi eti kwanini ulikuwa unafungua geti?akamzaba kibao pwaa!!
Jioni ya saa 9 mke akamchungulia mr Whatsap akamwona yuko online,labda hasira zilikuwa zimeshapungua
Akatext "habari za saizi?
Jamaa akaslide bila kufungua ili isionekana kama imesomwa akatoka online saa ile ile na kuzima data akaendelea na mambo yake pale ofisini huku akimsimulia jamaa yake pale ofisini.
"ameshanianza huyu mwanamke, sihitaji stress saizi,tena aniache yaani usiku mzima sijalala ni kesi zisizokwisha! yaani sina amani na ndoa yangu aisee!
huyu mke wangu anaongea sana! Mwanzoni tukiwa kwenye uchumba hakuwaga hivi Yaani najuta kuoa msichana kama huyu!
hapa ningemjibu tu hii msg angetaka kuendelea na vipolo vya kesi zake za asubuhi nausiku me nishamchoka sana aisee halafu ndio kwanza ndoa yetu changa hebu fikiria asubuhi natoka kuja ofisini ananizuilia nisitoke mpaka eti nimjibu maswali yake ya kipuuzi kabisa.
Nilipolazimisha akaja kusimama mbele ya gari eti ni afadhari nimuue!
Yaani hakuna amani kabisa nyumbani, huyu mwenzangu ni Msumbufu....na ndiye aliyenisabishia nianze kupenda kuangalia mpira usiku na si kwamba napenda mpira ila naenda kupoteza muda tu...jamaa yake alimwonea huruma sana akamjibu "pole sana sana....
Mke wake alipoona kimya akamtext kwa msg ya kawaida "vipi mbona umetoka hewani mara baada ya kuona text yangu?
Akajibu kwa mkato " kifurushi kimeisha sina mb".
Dada akafanya haraka akamuunganishia kifurushi cha internet cha mwezi mzima.
Akamtext tena "fungua data nimekuunganisha bundle
Jamaa akajibu "nikifungua data simu ina asilimia 6 tu itazima chaji sasa hivi na umeme umekatika mke wangu".
Ha! Mbona huishiwi sababu wewe mwanaume?
Basi ngoja nikupigie basi akapiga jamaa akapokea
Mama akaanza kutiririka!
"halafu mbona ni mwongo mwongo na unajifunga mwenyewe?
Wewe umeniambia umeishiwa mb, naomba tuheshimiane hukuniambia habari ya chaji, na mimi nilishakujua tu unakwepa kuchati na mimi,na hao malaya wako wanaokufanya bize kila wakati,mwisho wao unakuja,halafu wewe mwanaume utakufa mapema mimi nakwambia ukweli.....Mimi ulinikuta mzima kabisa ole wako nije nipate hata kaswende ndio utamjua baba yangu yukoje na atakufanya kazi....naona hao mbwa wako wameshakusahaulisha kabisa wosia wa baba tulipokuwa tunaoana!jamaa akakata simu akazima moja kwa moja
Dada akamtext tena "Asante tutaonana jioni ukija, ninakuasubiri!
Hivi ninavyoongea na wewe jamaa mpaka sasa ni miezi mitatu hajarudi kwake....... Nasikia amejipangia single room mahali lakini Nyumbani kwake hataki hata kuskia....
Mwanamke mpumbavu hupiga kelele,
Ni mjinga, hajui kitu.....tena huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini,
Kuliko katika nyumba ya ghorofa pamoja na mwanamke mgomvi.
Ni afadhali kukaa katika nchi ya nyika;
Kuliko na mwanamke mgomvi, mchokozi.
WANAWAKE MPONE KWENYE HILO ENEO KUWENI NA ADABU!
MATATIZO MENGI YA NDOA HUTOKANA NA HII SHIDA YA KUONGEA BILA KIASI.
Source:....