Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
hahaha uwiiiiiii sin mbavu jaman ila huyo aliamua kukomesha tu mzeeNi noma, mimi niliambiwa ana hamu ya kusikia harufu ya jasho langu, nilipiga push up mpaka nikasikia harufu ya damu kifuani, ili mradi tu nitoke jasho bibie aji feel good
hahahahahaha uwiiiiii
Umejuaje ana fungus?? wakati siyo mzazi mwenzio mwanaume, au ''ke''?Katibu fangasi hizo mkuu
sa saba ww ni muizi??Nimetoka zangu misele nafika home mida kama ya saa tano na vidakika, naambiwa "nina hamu ya chipsi na mishkaki ya kwa mpemba, halafu iwekwe na ukwaju na tomato nyingi".
Daah town mbali ikabidi nigeuze chap hamna namna, cha ajabu nimerudi na alivyoniagiza nafika mlangoni tu ana niambia hizo chips mbona zinanuka usiingie nazo ndani zitupe hapo ni ngoma saba kasoro night, asee nilimaindi kishenzi.