Visa na Vituko Michezoni

mmmmh!ni visa viwanjani!!kwa raha zao wengine hawajui kama walifanya hayo!!!
 
hawa waachane kabisa na mpira, kuna kipaji kingine wanacho ila wao hawajakitambua bado. Nimecheka sana leo

 

Hawa wangecheza porno za magasho ndo wanazofiti sio mpira
.

 
huyo jamaa aliyezawadiwa teke na ng'ombe nadhani familia ilikomea hapo
 
hawa waachane kabisa na mpira, kuna kipaji kingine wanacho ila wao hawajakitambua bado. Nimecheka sana leo


Hahaha sijui wanatamani wangekua na kipi, mimba au vitambi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…