Visa na vioja makazini

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
354
Reaction score
494
Habari wanajukwaa,

Leo tugusie kidogo visa na vioja makazini. Kama mnavyojua kazini ni sehemu ya kutafutia riziki na wahenga walisema penye riziki hapakosi fitina Vimekuwa vikishuhudiwa visa na vioja mbalimbali makazini ikiwa ni pamoja na baadhi yawafanyakazi kujipendekeza kwa bosi na kumpelekea taarifa za kuwachongea wengine.

Baadhi ya maboss kutaka mahusiano ya kimapenzi na wafanyakazi, ndumba, kuwekeana uzibe nk. Hii inaathiri ufanisi kwa ujumla #Katika eneo lako la kutafutia riziki (au hata kutokana na uzoefu) visa na vioja gani hurindima kiasi cha kuwa kero na hata kupunguza ufanisi? Tupia hapo tujifunze na kujirekebisha👇
 
Baadae nitakuja na kisa kipindi nafanya kazi kwenye Kampuni ya Takbir

Na visa vya hapa nilipo sasa
 
Ukabila bhana. Kuna kampuni kubwa tu nilifanyaga kazi baada ya mwaka nikaja kugundua karibu ofisi nzima ni ndugu tena wa karibu tu wengine niliwajua mapemaa kutokana na majina ya ukoo kufanana.

Basi bhana upendeleo ukawa nje nje hadi kero na wenine kujihisi inferior,
Ila changamoto sasa wakawa wanabweteka sana kwa kujua wana backup, mm nikatumia fursa hii kupiga kazi sana hadi wakanikubali na kunipa best employee kabsa then nikasepa walivyokataa kuongeza mchele.

Unaambiwa kila mtu kaletwa pale😌
 
😂✋
 
Una akili dogo, utafika mbali
 
Enzi hizo nipo kijana kampuni flani kubwa tu nchini Dasalaam ilikuwa ni full kuwania watoto wa field.
Sasa ile paap likaja kontena la watoto wa field miongoni mwao kulikuwa na kamnzi kakali kakimbulu aise kumbe ile pisi tulikuwa tunafukuzia karibia vijana wote wa pale ofisini.
 
Nimemisi cocktails za paradiso na mandazi ya jehanamu achana na grants za kuzimu
 
Tulimwagia utelez wa yai HR kwenye pahala pake baada ya kumuwekea kisungura ktk bia wakat wa hafla ya mwisho wa mwaka alaf akatumiwa picha surual yake ikiwa magotin pembezon mwa sinki la choo huku kukiwa na ujumbe "ole wake aache kazi"


Jamaa alikazimika kuwa mpole ukali ulimwisha
 
Kuna uzi humu unazungumzia haya yote ni wa muda kidogo utafute..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…