VIRUSI AU NIMEDUKULIWA?

Hao ni Virus, walikula app zangu zote za .exe walinipa hasara tena, Ila tu kuna ambazo nilikuwa nimeziweka kwenye zip folder hazikuguswa. Tafuta kaspersky Ndo nilitumia nikamtoa huyo virus.
Poapoa mkuu..
Nikiona vp ntai reset pc ifanye na installation upya ya windows maana dah
 
Dah kweli nmenotice pia games zoote chali.
Naona ktu cha .exe ndo chakula chao.
unaweza kuchek hidden files,,hao virus wa exe wengine wana tabia ya kuficha original file,,,
so ukifungua hidden files unaweza ona exe zipo mbili moja ina zero kb na nyingine ni ile original kwa file zote zenye extension ya exe ...
 
unaweza kuchek hidden files,,hao virus wa exe wengine wana tabia ya kuficha original file,,,
so ukifungua hidden files unaweza ona exe zipo mbili moja ina zero kb na nyingine ni ile original kwa file zote zeye extension ya exe ...
Poapoa mkuu.
Shukrani[emoji1666][emoji1666]
 
Kirusi pia Ni aina ya malware.
Malaware ni broad term ya maliciuous code, including virus. Ila malwayarebytes ina dili zaidi na ransomwares and the likes, ila kwa uyo virus ailyemuingia uyu fala apo malwarebyte haiwez kumtoa ni virus mimi nilitumia kaspersky kumtoa defender yenyewe ina Anti-Malware na haiwez kumtoa uyo mdudu ndo mana nimemuambia uyo fala atumie kaspersky antivirus kama anabisha aendelee kutumia malwarebyte kama anataka afunge ndoa na uyo virus.
 
Kijana wtf is this, ufala unetoka wapi wakati thread ilkua ya kuomba ushauri.
Malezi ni jambo muhimu sana kwenye jamii.
 
Baada ya kuhangaika sana maana sikutaka kupiga upya windows,
Thaanks wote wastarab kwa ushauri.
Sfc scan pia ikasadia mwshoni'
"Windows resources protection found corrupt files and successfully repaired them" baada ya haka ka ujumbe nkarestart machine ,now na declare tatizo limeisha rasmi.
 
Hebu ielezee vizuri hii sfc scan mkuu
 
Jiulize kwanza mpaka udukuliwe WHO ARE YOU?
 
Ila file zake ndio zitabak 0kb vile vile
hapo amepoteza,next time awe makini sana na flsh disk kwasabab virus wengi wanasambaa kwa njia hiyo,thats why nikasema pia atumie kaspersky pamoja na utility moja hivi inaitwa usb disk security
 
Inawezekana pia software unayotaka kuweka ni 64bit, wakati OS yako ni 32bit, hujitokeza huo ujumbe.
Hakiki hapo pia.
Duh. We mzee kasema kasema aki run apps siyo setups. Maana amesha install
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…