mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,174
wasaidiwe au wakusaidie wewe maisha...unadhani kila mtu atakuja dar....kila mtu akupigie...wewe nani!Mods usiondoe huu uzi tunataka watu.wasaidiwe
Mbona lishakuwa solved Mara kibao humu? Mjifunze kusearch
https://www.jamiiforums.com/tech-ga...m/909696-matangazo-kwenye-simu-huawei-p6.htmlTunaomba link mkuu. Msaaada
mm huwa na wa-disable without resettingHow to Remove Monkey Test Time Service Virus Without Resetting Android
.exe kwenye android? Virus anaingia kupitia WhatsApp na Instagram?!
naona nimechelewa ila sina jibu tofauti na Mavella.
LUCKY PATCHER ndio suluhisho la hao wadudu,
una wa freez kisha hutawaona tena wakiwa active, coz huwa wanatokea ktk recent apps kule ukiminya home button, so ukiwa freez ume solve tatizo mazimaaaa. hiyo ndio tiba rahisi sana.
kumbuka, ili lucky patcher ifanye kazi vizuri nilazima uwe na busy box installer,kisha u install busybox.