Habari wana jf
Nina simu yangu ambayo haitumii laini sasa katika mtandao mpaka nitumie Wi-fi connection katika maeneo husika,sasa nataka niulize hakuna njia nyingine ambayo naweza tumia internet sehemu yeyote.Nawasisilisha
labda utumie wi-fi hotspot ya simu nyingine. yaani uwe na simu nyingine yenye wifi (simu nyingi za android zinayo wifi, hata za kichina zinafaa). hivyo ndivyo wanavyofanya watu wenye tablets zisizo na simcard slot.