kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,425
- 13,935
pombe ya viroba ni janga kwa vijana na mazingira. Kuwaongezea muda wenye viwanda na wafanyabiasha wenye shehena kubwa ya bidhaa hivyo ni sawa na kuwaongezea muda wa kuendelea kuwadhulu na kuwaua watu na kuharibu mazingira yetu. Je, Ni sawa kwa watu hawa kupewa muda zaidi wa kumaliza bidhaa zao kwenye maghala?