C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Nov 19, 2022 #1 Picha inaongea Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,644 Reaction score 14,813 Nov 19, 2022 #2 Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha.
Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha.
C canfi JF-Expert Member Joined Jun 26, 2022 Posts 1,411 Reaction score 1,585 Nov 19, 2022 Thread starter #3 pwilo said: Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha. Click to expand... Ni kuambiana tu Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
pwilo said: Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha. Click to expand... Ni kuambiana tu Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,632 Reaction score 138,724 Nov 19, 2022 #4 pwilo said: Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha. Click to expand... Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?
pwilo said: Tatizo la yanga hawakubali kushindwa kwasababu mumeambiwa mnatumia bahasha basi mnatafuta kila mbinu muthibitishe na simba inapitisha bahasha. Click to expand... Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema?
I Interlacustrine E JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 3,396 Reaction score 6,025 Nov 19, 2022 #5 Tate Mkuu said: Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema? Click to expand... Mbumbumbu hawana akili kabisa [emoji23] Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tate Mkuu said: Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema? Click to expand... Mbumbumbu hawana akili kabisa [emoji23] Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
MubengaJr Senior Member Joined Oct 14, 2022 Posts 175 Reaction score 366 Nov 20, 2022 #6 canfi said: Picha inaongeaView attachment 2421415 Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app Click to expand... Weka na picha ya UTOPOLO alivyopigwa zile 5-0, na 4-1 kutoka kwa mnyama Simba.
canfi said: Picha inaongeaView attachment 2421415 Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app Click to expand... Weka na picha ya UTOPOLO alivyopigwa zile 5-0, na 4-1 kutoka kwa mnyama Simba.
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,719 Nov 20, 2022 #7 Tate Mkuu said: Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema? Click to expand... Attachments FB_IMG_1668918174577.jpg 77 KB · Views: 8 FB_IMG_1667494492586.jpg 30.8 KB · Views: 8
Tate Mkuu said: Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema? Click to expand...
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,570 Nov 20, 2022 #8 Tate Mkuu said: Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema? Click to expand... Tunaamua kuwapuuza kwani ukijibishana na mwehu nawe utaonekana mwehu
Tate Mkuu said: Kuwa tu mpole. Juzi pia mlituonesha picha ya zamani ya Ali Kamwe na wale wachezaji wa SBS, mkaja na stori ya match fixing! Haya sasa na nyinyi leo mna kipi cha kusema? Click to expand... Tunaamua kuwapuuza kwani ukijibishana na mwehu nawe utaonekana mwehu
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,632 Reaction score 138,724 Nov 20, 2022 #9 Kwa hiyo hizo timu zote ulizozitaja hapo juu, ndiyo timu kubwa Afrika!