mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga timu sijapata ona!.Barcelona 5 Real Madrid 0
Huku Messi kule C.Ronaldo
Achana na hao, kuna mtu alikua anaitwa Xavi Hernandez, kiungo mahiri kuwahi kumshuhudia akisakata kabumbu, aliwatesa vibaya Madrid pale kati, yaani alichafua dimba na mwenzi Andres Iniesta
Ni Big Mechi ipi wewe unaikumbuka?
XAVI yule jamaa alikua anapiga pasi hadi anakera, pasi karibia 200+ peke yakemkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga sijapata ona!.
UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
Ahahah 2004 hiyo sio? Wenger kavaa bonge la buga!mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga sijapata ona!.
UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
Mchezaji wa Brighton & Hove kawalipia Barca kwa Liverpool sema yeye kwenye faulo sio kona.Liva 4 Barca 0.. ile kona ilivochezwa Barca hawakuamini
Ahahahaa, malipo yote ni hapa hapa dunianiMchezaji wa Brighton & Hove kawalipia Barca kwa Liverpool sema yeye kwenye faulo sio kona.
Mtangazaji anasema "Barca was caught napping, It was so chicky!"
Na wa juzi mechi ya Brighton karudia hivyo hivyo "Liverpool were caught napping, so chicky!"
Babu Ferguson nae alitafuna buble gum zikaisha, akaanza kutetemeka kwenye bench.mkuu hujamtamka vizuri Xavi Hernandez hebu rudia mpa sifa yake!. Yule mbwa alikuwa anaiunga sijapata ona!.
UEFA Final Arsenal vs Barcelona.
Messi anatunyanyasa kama wake zake, mpaka nikaanza mpenda yule mbilikimo!.
Daah we acha tu.Ahahahaa, malipo yote ni hapa hapa duniani
Na Peter Drury naye anakuaga na vimisemo kwenye EPL, namkubali sana.Daah we acha tu.
Nina clip ya ile mechi huwa nairudia mara kibao ndani ya mwezi mmoja siichoki.
na-rewind na ku-replay pale pale anaposema
"Barca were caught napping, It was so chicky,
The most experience players in the world were switched off,
Every body in the pitch were switched off except Trent Alexander Arnold and Divock Origi,
So chicky, so offensive"
Anaendelea ....
"Look at Divock Origi, It's like slow motion, so well taken!"
Sana.Na Peter Drury naye anakuaga na vimisemo kwenye EPL, namkubali sana.
Sema ile ya mkwasa tuliowakazia Algeria hapa om tukaenda kupigwa wiki kwao ilikua nomaLiverpool FC 4 - 0 Barcelona FC,
Ilikuwa Anfield Stadium 2019.
Na ile wabongo chini ya Charles B Mkwasa walipigwa 7 kule Algeria.