Lol! Tanzania sasa imekuwa no go zone kwa zeruzeru, wakongwe, wenye upara, wakenya.
Soon hata wazungu wataanza kukoma kuenda huko zeruzeru wakimalizwa, itakuwa zamu yao.
Mtz akikuita wewe mkenya hivi hivi ati kuna dili sijui Loliondo huko, fikiria mara mbili.