Wadau najua wengi wenu mnajua kuwa kuna Simba TV je wenzangu mnijuze inapatikana kwenye frequency gani ? Nina hamu sana na Tv ya chama langu au mambo ndo@yaleyale ya uwanja pia kiza totoro naomna mnijuze mnaojua kinchoendelea kuhusu hayo!
Nadhani hiyo Tv ilibidi iwe inapitia CLOUDS TV sina uhakika sana. lakini jana niliona AZAM TV kupitia channel 10 azam wanakuja spidi kwenye kila kitu. Kuhusu swala la uwanja wa Simba tuendelee kuota tu labda Mwakyembe awe ni mwenyekiti wa Simba.