Tuliahidiwa ni mwezi wa march ikashindikana, tukaambia ni wa tano, ikashindikana, tukaambiwa tena mwezi wa. Saba, ikashindikana.tukaambiwa ni mwanzoni wa mwezi wa tisa, sasa naona ni katikati ya mwezi wa Tisa.lakini pale ukiangalia kitaalamu na kwa speed inayoonekana pale, ni dhahiri kuwa mwaka huu haliwezikukamilika. Sasa kwa nini wanatudanganya?. Ebu Kama kuna yeyote anayejua sababu ya kukwama huku ni nini basi atuweke sawa. Ili Kama tatizo ni pesa, basi tufanye harambee tumechoka.