[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijawahi kucheka hovi aseeeNinakumbuka vijana nilisoma nao secondary bwana walikuwa mishen town, tulikutana Hongera bar sikumoja walikuwa wanashindana kumaliza laki wakinicheka mimi, nilipitisha round moja 40,000 ilipokatika nikatulia, waliniita mtu wa budget. Siku hizi siwaoni, unakutana nao kanisani tu tena wapole.
mi mwenyewe niko mbali watujuze nini kimetokea huko, laki imekuwa nini sasa kama sio pesaMi sipo Tanzania miaka miwili iliyopita.kuna kitu kimetokea huko?