Kwa voda ni 30000 @month Airtel 35000@month. Mi natumia Voda ni zaidi ya nyumba ndogo.
Kwa voda ni 30000 @month Airtel 35000@month. Mi natumia Voda ni zaidi ya nyumba ndogo.
cm yangu ni BlackBerry 1800 na ni pearl curve ikifika kwenye e-mail setup application anakuuliza if you want to use a work email account with BlackBerry Enterprises Server or you want to skip email setup na IMEI zake nitaku PMelezea vizuri specification ya simu yako,ni pearl curve au storm,upate msaada,tunaweza kukufungulia.
Mkuu sijakuelewa mm najua tigo kuna 700/= siku 3 standard na 450/= light siku 3 unasurf bila wasiwasi wala sio 7000/ kwa 4500/
Wajameni nisaidieni wajuzi nimingia mkenge au? nimeinunua Blackberry 1800 nikaambiwa original nimetafuta mtandao wa Internet bado unagoma eti nawajibika kulipia 35,000/= kwa mwezi kupitia vodacom
Mimi nimezoea hizi modem zetu za Huawei, za PC au kwenye Laptop sasa nimepata hiki kilongalonga nifungulieni wajuzi au nikiuze ?