Pre contract ni kama barua ya posa, unaweza ukaposa lakini akaoa mwingine.Manzoki amesaini Pre Contract na Simba SC, nachojua atakuja kuwafunga hiyo siku yenu halafu mwishowe anaenda Msimbazi.
Mmefanya vizuri sana kumpa mazoezi.
Pre contract ni kama barua ya posa, unaweza ukaposa lakini akaoa mwingine.
Sitegemei Yanga kujihususha na Manzoki, Tayari walisha jifunza Kwa Juma Balinya
Wale red arrows vipi tena, walijipamba bure, au yanga wameghairi sababu ya kiherehere cha red arrows kuanza kuvujisha tarehe ya ndoa kabla muoaji hajatoa tamko.
Hongereni watani, kila la kheri.La clube pesidente Hersi Said Ali
La Proffeseri Nabi
Hao wote wanataka kumfanyia tathmini Ceaser Manzoki.
Sasa balinya umlinganishe na Manzoki? Yule Balinya ilikuwa ni bahati tu kama ilivyotokea kwa Mpole ila kwakua nyinyi mlikuwa majinga mkaona ni bonge la striker, ila huyo Manzoki alikuwa anamkalisha hata huyo Mcongo wenu huko walikotoka.Pre contract ni kama barua ya posa, unaweza ukaposa lakini akaoa mwingine.
Sitegemei Yanga kujihususha na Manzoki, Tayari walisha jifunza Kwa Juma Balinya
Itokee katua Msimbazi mioyo itawauma sana aiseeh.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Manzoki anawauma vichwaa utopolooo, vipi DOMOLEPEE hana mpyaaa???
Funguka useme kwamba, moyoni mwako ukitulia vizuri na ukaacha kufikiria kwa kutumia makalio (kama ambavyo huwa unafanya), unaona kabisa kuwa Manzoki ni striker mzuri kuliko striker yoyote mliyenaye hapo kwenu.La clube pesidente Hersi Said Ali
La Proffeseri Nabi
Hao wote wanataka kumfanyia tathmini Ceaser Manzoki.
Asec Mimosas kama asingecheza na Simba SC, leo hii Aziz Ki tusingemuona Yanga.
Lobi Manzoki kama asingehusishwa na Simba SC, leo hii tusingesikia kuwa ni mpango wa replacement ya Makambo.
Sasa ubishi unatoka wapi mkiambiwa kuwa Simba SC ni Timu Kubwa..Khaaa!
Funguka useme kwamba, moyoni mwako ukitulia vizuri na ukaacha kufikiria kwa kutumia makalio (kama ambavyo huwa unafanya), unaona kabisa kuwa Manzoki ni striker mzuri kuliko striker yoyote mliyenaye hapo kwenu.
Ili mchezaji aonekane lazima achezeAsec Mimosas kama asingecheza na Simba SC, leo hii Aziz Ki tusingemuona Yanga.
Lobi Manzoki kama asingehusishwa na Simba SC, leo hii tusingesikia kuwa ni mpango wa replacement ya Makambo.
Sasa ubishi unatoka wapi mkiambiwa kuwa Simba SC ni Timu Kubwa..Khaaa!