USHAURI WANGU UACHE KUTUMIA DAWA YA KUSHAVE NYWELE ZA SIRI BADALA YAKE UTUMIE MASHINE YA KUNYOLEA AMBAYO GHARAMA YAKE HAIZIDI 20000 NI NJIA SALAMA SANA,KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA UKANIPMHabari wana Jf.. nina tatizo la kuwa na vipele vigumu kwenye kuta za mashavu ukeni. Nimekuwa nikisumbuliwa na hili tatizo kwa muda mrefu. Nimekuwa nikitumia dawa bila mafanikio.. mwanzon vilikuwa pande zote mbili lakini kwa sasa vipo upande mmoja . Haviumi na havitoi harufu. Napata normal discharge na nilishawah kwenda hospital nikaambiwa may b infection ya kutumia cream wakat wa kushave na nikapewa dawa nikatumia.. kwa sasa nimeacha kutumia lkn vipele bado vpo. na ukiangalia kwa haraka havionekani mpk nikiminya kwa ndan ndo kuna kiuvimbe vya kipele viwili. MSAADA PLS.
Havionekani kwa picha .. n mpaka nikigusa ndo naona km kuna kaugumu kama kipele .. ni kiasi cha kujibinya na kugundua kuna kipele kwa ndaniTupiamo na kapicha tafadhali....🙂
Mm n mwanamke. Na kila niogapo n lzm nijisafishe kuhakikish K' ipo ktk hali ya usafi . Na km kuna tofaut lzm nitafutie ufumbuz cz hapo mwanzo haikuwa hv. hayo ya kujigegeda mm siyajuiHuwa unajisaidia kujigegeda or unafanya masterbation? Maana sidhan kama utaweza kujigundua vipele ndan ya mashavu ya pale kati
Ila usjal ni normal situation coz hata mm ktk uume kuna vipele ila naona kama msaada vile ktk kutia chachandu wakat wa kugegeda
Mwisho kuna daktar alinambia hv
"We suffer bcoz we are aware(clever)"
Mungu atakuponya ila uc one kama n ugonjwa it is normal
AsanteUSHAURI WANGU UACHE KUTUMIA DAWA YA KUSHAVE NYWELE ZA SIRI BADALA YAKE UTUMIE MASHINE YA KUNYOLEA AMBAYO GHARAMA YAKE HAIZIDI 20000 NI NJIA SALAMA SANA,KWA MAELEZO ZAIDI UNAWEZA UKANIPM
Umesema "muda mrefu"... how long? Miaka 2/3/10? Jaribu kuwa specific itapanua wigo wa kushauriwa!Havionekani kwa picha .. n mpaka nikigusa ndo naona km kuna kaugumu kama kipele .. ni kiasi cha kujibinya na kugundua kuna kipele kwa ndani
Ndugu kwani hua unashevu ndani?, sioni uhusiano wa ndani na nje. Mconsult gynecologistAsante
Pole aisee.Mm n mwanamke. Na kila niogapo n lzm nijisafishe kuhakikish K' ipo ktk hali ya usafi . Na km kuna tofaut lzm nitafutie ufumbuz cz hapo mwanzo haikuwa hv. hayo ya kujigegeda mm siyajui