Wadau naomba Kwa yeyote anayeweza kutoa ushauri wa tiba ya vipele vinamtokea mtoto mara kwa mara na kutibiwa bila mafanikio.huwa vinamuwasha na havitoi usaha na vinamletea Kuchemka kichwa
Dah umenikumbusha miaka 15iliyoisha mdogo wangu aliteseka sana na harara kama hizo hakupata tiba kabisa sasa akawa n mtu wa kuchafua nguo sana ikawa inabid ili nguo zitakate zisifubae lile vumbi jekundu la mosh niwe nachemsha maji nazizoweka kisha nafua baada ya wiki 3 hatukuona akiwashwa ila nilikuja kugundua kapona kabisa bila dawa yoyote zaid ya kufua ngu na maji moto