VIPAUMBELE VYA WAGOMBEA
MAGUFULI
LOWASSA
Gharama za Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu ni Milioni 4.5 kwa mwaka. Hii haijahusisha gharama za wanafunzi wa masomo ya sayansi kama Udaktari, uhandisi n.k.
Lowassa ameahidi kuunda wizara ya Dar es salaam itakayoshughulikia masuala yote ya Jijini Dar
Vyanzo vikuu vya mapato ni utalii, madini, gesi na kodi za kampuni kubwa kubwa
UTOFAUTI WA ILANI ZAO UKO HAPA
Foleni za dar
Wakati Lowassa anaahidi kujenga barabara za juu (fly-overs) Magufuli ameshasimamia zoezi la utiwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa barabara za juu jijini Dar na ujenzi huo utaanza mara moja
Posho za wenyeviti wa mitaa na vijiji
Wakati Lowassa anaahidi kuwalipa posho wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji; Serikali ya CCM ilishapitisha waraka wa kuwalipa mishahara madiwani, na posho waliyokuwa wanapokea madiwani watapewa wenyeviti wa mitaa na vijiji
Afya
Hii ahadi ya kujenga hospitali za rufaa kila wilaya ni ahadi hewa, hao wagonjwa watakaokwenda kwenye hospitali hizo watapata rufaa toka kwenye zahanati za kata?
Mikopo
Serikali ya Magufuli itatoa Milioni 50 kwenye kila kijiji na mtaa kwajili ya kukopesha vikundi vya vijana na wanawake ili waweze kujikwamua kiuchumi. Umasikini utapungua kwa haraka sana kwakuwa wanawake na vijana wengi watakuwa na uwezo wa kujenga nyumba kwa pesa zao wenyewe hususani baada ya kupunguzwa kwa gharama ya vifaa vya ujenzi eg. Mfuko wa saruji ya dangote unauzwa 8,000/=
Vyanzo vya fedha
Lowassa anategemea sana mapato ya gesi na madini kuendeshea nchi huku akifuta kodi ndogo ndogo zote. Anajua wazi kuwa mapato ya gesi yataanza kupatikana baada ya miaka saba toka hivi sasa. Bila shaka mipango yake haitotekelezeka
Vipaumbele vya Lowassa havina mashiko kwakuwa vilishaanza kutekelezwa na Chama Cha Mapinduzi pia chanzo chake kikubwa cha mapato ya gesi asilia hakiwezi kutoa pesa ndani ya hiyo miaka mitano aitakayo yeye.
Ahadi sahihi na zinazotekelezeka na zinazoleta maendeleo mapya nchini ni za Magufuli J. P. Tumpe kura zetu zote ili aweze kututumikia na kutuletea mabadiliko ya kweli
TULIA TAFAKARI AMUA MPE KURA YAKO DR. JOHN POMBE MAGUFULI
MAGUFULI
- Afya (Trilioni 29.15)
- Zahanati kwenye kila kijiji
- Kituo cha afya kila kata
- Hospitali kwenye kila wilaya
- Hospitali ya Rufaa kila mkoa
- Elimu bure hadi kidato cha nne (Trilion 5.14)
- Hakuna ada ya shule
- Hakuna michango
- Ujenzi Chuo kikuu kipya cha Kilimo Butiama
- Ujenzi wa Chuo kikuu kipya cha Madini Shinyanga
- Meli 3 mpya za kisasa (Bilioni 833.7)
- Ziwa Tanganyika
- Ziwa Nyasa
- Ziwa viktoria
- Milioni 50 kila kijiji na mtaa (Trilion 1.15)
- Vijiji 19,200
- Mitaa 3,741
- Reli mpya ya kati na Barabara (Trilion 19.86)
- Barabara zisizopungua Km 4,000
- Reli ya kisasa Km 1,367
LOWASSA
- Elimu bure hadi Chuo Kikuu (Trilion 9.9)
Gharama za Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu ni Milioni 4.5 kwa mwaka. Hii haijahusisha gharama za wanafunzi wa masomo ya sayansi kama Udaktari, uhandisi n.k.
- Afya (Trilion 5.84)
- Zahanati kila kijiji
- Vituo vya afya kila kata
- Hospitali ya Rufaa kila wilaya
- Posho wenyeviti wa vijiji na mitaa (Trilion 1.84)
- Vijiji 19,200
- Mitaa 3,741
- Reli Tanga - Arusha Mara (Trilion 7.64)
- Reli Km 909
- Kumaliza foleni za Dar (Trilion 3.07)
- Ujenzi wa barabara za juu (fly-overs)
- Mandela/Nyerere
- Mandela/Morogoro
- Ujenzi wa barabara za pembezone