Waungwana,
Katika kuwahifadhi watuhumiwa huko "VIP remand/prisons", ni kigezo kipi kitatumika? Je ni:=
- Aina ya kosa mtu alilofanya?
-Muonekano wake ?
- Wadhifa aliokua nao?
- connections?
Hebu mwenye insights atumegee maana kwa maoni yangu hapa kuna utata kidogo.