Viongozi wa ngazi mbalimbali wanaochukua hatua dhidi ya watumishi wa umma bila kuzingatia mamlaka wa

Jef Kirhiku

Member
Dec 10, 2016
39
76
Kumekuwa na hatua mbalimbali zinachukuliwa kwa watumishi wa umma na viongozi mbalimbali ikiwemo wakuu wa mikoa ,wilaya ,mawaziri,manaibu mawaziri nk bila ya kuzingatia mamlaka waliyonayo kwa mujibu wa sheria za nchi .
Je hawa viongozi hawana ufahamu kuhusu sheria na taratibu mbalimbali zilizowekwa au wanazipuuza tuu kwa sababu hatuna mifumo mizuri ya uwajibikaji ?
Kama hawazifahamu au wanazipuuza je wanatosha kuendelea kubaki katika nafasi walizonazo waendelee kujifanyia watakavyo ?
Nini maoni yako ?
 
Back
Top Bottom