Anatambulishwa hivyo na malimbukeni na majuha wenzake. Udaktari unadhani mchezo. Kesho utasikia Dokta Ridhiwani, Dokta Salma, Dokta Rahma, Dokta Miraji, Dokta Rostam. Dokta Lowassa hata Dokta Yusuf Makamba. Nadhani kwa ulimbukeni na ujuha wao ndiyo maana wameshindwa kuwawajibisha walioghushi udaktari waliokuwa wamejazana kwenye bunge chovu lililopita. Mungu tunusuru na manyang'au hawa.