Elections 2010 Viongozi wa kiafrika hupenda kujikweza ..

samoz

Member
Nov 2, 2010
32
1
SASA UDr. wa kikwete ni wa wapi? Honoraria Doctorate hazitakiwi kumtambulisha mtu ..except Academic na proffesional .

Sasa huyu mkwere anapenda sana kujitambulisha na kutajwa na vyombo vya habari eti Dr.

Nani anajua kama Obama ni Prof.Dr na amefundisha Harvard ...
Hata Balali alikua Dr.

kichwani huyu sidhani kama ni smart
 
Anatambulishwa hivyo na malimbukeni na majuha wenzake. Udaktari unadhani mchezo. Kesho utasikia Dokta Ridhiwani, Dokta Salma, Dokta Rahma, Dokta Miraji, Dokta Rostam. Dokta Lowassa hata Dokta Yusuf Makamba. Nadhani kwa ulimbukeni na ujuha wao ndiyo maana wameshindwa kuwawajibisha walioghushi udaktari waliokuwa wamejazana kwenye bunge chovu lililopita. Mungu tunusuru na manyang'au hawa.
 
Kikwete ni Dr wa Kuchakachua alipewa cheo hicho na NEC baada ya uchaguzi wa 2005, waliamua kumtunukia hicho cheo kwa heshima ya NEC kwa kuwafundisha wawe na uwezo wa kuchakachua kura.:doh:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom