🤣🤣🤣🤣🤣Ila hii vita inavunjia heshima watu wengi
Kwa asilimia kubwa 😅🤣🤣🤣🤣🤣
Hata watu wa humu JF mkuu?!!!
Mkiristo wewe unashida sana. Jf unatumia jina bandia kuutukana uislam. Hata mtoto madrasa tu unamuogopa"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.
Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.
"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".
Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄
Na Hawa viongozi ni wale moderate ambao MOSSAD hawana muda nao, na waliwaacha makusudi maana ndio wahusika wa mazungumzo
Naweza kusema ile Regime Change imekamilika
Wale viongozi wote wenye mdomo na waliokuwa wanasema ISRAEL lazima ifutwe ,wamekuwa assassinated karibu wote
Huwa inachekesha sana utasikia Iran ataifuta Israel ,
Wakati viongozi wa Iran hasa wa IRGC wanafichama hawatoi hata kichwa
Muda huo huo tunaona NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI akiwa anatembea mitaani ,tumeona juzi akiwa kule Lebanoni .
Kwamba natanyahu ni kiboko ya ALLAH? astakafirulah,haya kila la kheri"Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.
Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.
"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".
Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄
Na Hawa viongozi ni wale moderate ambao MOSSAD hawana muda nao, na waliwaacha makusudi maana ndio wahusika wa mazungumzo
Naweza kusema ile Regime Change imekamilika
Wale viongozi wote wenye mdomo na waliokuwa wanasema ISRAEL lazima ifutwe ,wamekuwa assassinated karibu wote
Huwa inachekesha sana utasikia Iran ataifuta Israel ,
Wakati viongozi wa Iran hasa wa IRGC wanafichama hawatoi hata kichwa
Muda huo huo tunaona NETANYAHU KIBOKO YA ALLAH NA MAGAIDI akiwa anatembea mitaani ,tumeona juzi akiwa kule Lebanoni .
Kwanini Msimsomee albadiri?Kwamba natanyahu ni kiboko ya ALLAH? astakafirulah,haya kila la kheri
Chai."Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.
Mohammad Marandi mchambuzi wasiasa na profesa wa chuo kikuu cha Tehran aliyekuwa ameambatana na ujumbe wa Iran nchini Pakstan anasimulia.
"Tuliwaza sana ndipo tukawaambia Pakstani hofu yetu na kuwaomba watusindikize kwa msafara wa ndege za kijeshi mpaka Tehran,walikubali,tulisindikizwa na jet 20 pamoja na ndege ya mfumo wa onyo la mapema, katikati ya safari tulibadili maamuzi".
Abbas Araghch waziri wa mambo ya nje na Mohamad Bagher spika wa bunge walipanda ndege tofauti kisha badala ya kuelekea Tehran tuliomba tupelekwe jiji la Mashhad ambapo tulipanda basi kisha train kwenda Tehran." mohammad Marandi aliliambia gazeti la Al Mayaeed la Lebanon.
😆😆😆😆😄😄😄
Na Hawa viongozi ni wale moderate ambao MOSSAD hawana muda nao, na waliwaacha makusudi maana ndio wahusika wa mazungumzo
Naweza kusema ile Regime Change imekamilika
Wale viongozi wote wenye mdomo na waliokuwa wanasema ISRAEL lazima ifutwe ,wamekuwa assassinated karibu wote
Huwa inachekesha sana utasikia Iran ataifuta Israel ,
Wakati viongozi wa Iran hasa wa IRGC wanafichama hawatoi hata kichwa
Muda huo huo tunaona NETANYAHU KIBOKO yao akiwa anatembea mitaani ,tumeona juzi akiwa kule Lebanoni .
🤣🤣 umefall in kwa propaganda na psychological warfare chess game inachezwa vizuri."Baada ya kuvunjika kwa mazungumzo ya amani kule Islamabad tuliogopa, tutarudije Tehran? Maana Israel sio watu wazuri,wataangusha ndege yetu" alisema Marandi.