Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,450
- 5,279
Kalamu ya Samia inaongea waendelea kuyasema na kuyamulika yale yote aliyoyafanya Rais Samia kuanzia mjini mpaka vijijin kuwa kalam ya mama Samia imepita kila eneo.
Leo March 17,2025 viongozi wa dini wa pande zote kupitia kampeni ya kalamu ya Samia inaongea wamezungumza na waandishi wa habari na kusema yale yatakatojiri wakati wa kampeni ambayo itafanyika mkoa kwa mkoa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Vile vile Kalamu ya Samia inaongea wanatarajia kufufurisha siku zijazo na kumuombea Rais Samia.