Viongozi wa CHADEMA Waongoza kwa Umaarufu Tanzania

walioshiriki katika kura hiyo ni watu wa JF tu. Asilimia 99.9 ya wa tz hawatumii mtandao unalijua hilo

Wengi hawalijui hilo!Aslimi 90% ya Watanzania hawana umeme !Sijui huo mtandao wataupata saa ngapi!Kuna jambo nimeligundua kuna watu huwa wanaingia humu JF kila siku wameshakuwa na mazoea wanafikiri JF ndiye Tanzania nenda kijiji chochote Tanzania Uliza swali dogo tu"Eti mliwahai kusikia mtandao unaitwa Jamii forums?
 

Kila sredi ya CHADEMA lazima utajitokeza tu..Utumwa utakuua Mkuu.Kuwa na mawazxo huru si kila ukiona hoja za CHADEMA lazima ujibu...Unakera sana..
 
Kila sredi ya CHADEMA lazima utajitokeza tu..Utumwa utakuua Mkuu.Kuwa na mawazxo huru si kila ukiona hoja za CHADEMA lazima ujibu...Unakera sana..

Mkuu GS,

Huyu mkuu anasumbuliwa sana na itikadi za kiimani...anahitaji kufikiria sana kablahajapost.Kuna watu anafanya nao kazi na wako close,i wonder kama mawazo yao ndo hivi hivi ya udini basi uongozi wa TZ unakabiliwa na tataizo kubwa kuliko tunavyofikiri.

Ati akna John tu.....
 
Keep on dreaming...october ndio tutafahamu kama chadema ni maarufu au CCM au CUF...
 

I mean seriously? Umaarufu uliopo wa wanasiasa wa Tz ni kukosa VISION na KUCHUMIA TUMBONI..hamna cha maana hapa..upupu tu..
 

GS..........Hii ni kwa mujibu wa poll ya hapa JF ambayo imepigwa na watu 470 kati ya members 17,623 wa JF(utafiti wa JF),cha kujiuliza hapa ni je,ni kweli kwamba Dk.Slaa ni maarufu zaidi ya Rais JK hadi kwa mtanzania wa kawaida(wapiga kura walio vijijini)?,ama ni maarufu tu hapa JF?....Maana kwangu mimi kusema kwamba viongozi wa CHADEMA ni maarufu Tanzania kwa kuangalia kura zilizopigwa na watu 470 kati ya members 17,623(asilimia 2.6) wa JF inakuwa haijakaa vizuri hata kidogo....Kwangu mimi naona Rais JK bado ni maarufu(anaongoza kwa umaarufu ukilinganisha na hao viongozi wengine) Tanzania(kwa watanzania wa kawaida) ikilinganishwa na hao viongozi wa CHADEMA.....So si vema kusema kwamba viongozi wa CHADEMA ni maarufu zaidi Tanzania eti tu kwa kutumia kigezo cha watu 470(kwamba wanawawakilisha watanzania karibu milioni 40?...hapana,nakataa).....labda tu tuseme ni maarufu hapa JF......Huu ni mtizamo wangu tu........Pamoja
 

Hakika umenena mkuu...Hii inaitwa HEKIMA

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/36112-mwanasiasa-maarufu-tanzania.html

Binafsi sijaipenda thread hii hata kidogo,haina mashiko...Inapotosha
 
BTW, huo 'umaarufu' wao unatusaidia nini sisi walalahoi..phew!

Labda inamanisha kwamba CHADEMA inakubalika sana Tanzania,hasa katika kipindi hiki(mwaka) cha uchaguzi,kwamba umaarufu huu utakisaidia kushinda uchaguzi kwa kishindo.......................................

XoXo
 

You are joking, right?
 

Kaaz kweikwei..JF hapa ndo kwa ma-great thinker, kaa huyu, ambao ni elite class wanaotegemewa kuwakwamua waTZ wenzao kwa ku-pave way na kushape future ya taifa hili maskini..lakini itaezekana vipi ikiwa tuna umaskini wa AKILI VILEVILE?..We are damned, for sure.
 
Balantanda
Analysis za research huwa hazifanywi hivyo, ukiangalia wanaJF 470(2.6%) kati ya members 17,623 ni percent kubwa ukilinganisha na watu 2,000 wanaotumiwa na REDET/Synovate kwenye tafiti zao kwenye mil. 40 ya watanzania wote ambayo ni sawa na 0.005%, kwa kigezo chako unafikiri nani atakuwa ametumia 'area of research' kubwa zaidi ya mwingine kati ya G.S na REDET. Kwenye uchaguzi mkuu 2005 Kikwete alipopata kura 9,000,000 sawa na 80% ambayo si ya watanzania wote ni ya waliopiga kura tu, ukifuata analysis yako ambayo si sahihi basi Kikwete angeshinda kwa kama 22.5% tu kwa vile kura mil. 9 ni kama sawa na 22.5% ya watanzania mil. 40.

Kwa vigezo alivyotumia G.S naweza kukubaliana na utafiti wake kwa 100% kwa vile amesema aliufanya humu humu JF (area of research) na si vijijini kama unavyosema, labda cha kujiuliza ni kwa vipi matokeo ya utafiti wake yana husiana na jamii yote ya watanzania pale aliposema Chadema ni maarufu zaidi. Je members wengi wa JF ni wapenzi wa Chadema? kama wengi ni wapenzi kwa sababu zipi, kwanini wasiwe wapenzi wa vyama vingine, mimi nafikiri mtu ukijiuliza maswali haya ndipo utakapojua uhusiano wa utafiti wake na jamii nje ya JF kwa vile hata wanaJF ni sehemu ya hiyo jamii ingawa ni ndogo.
 

Chukua tano.
 
Napendezwa sana na mijadala ya kitaaluma...ama hakika tukijenda utamaduni huu vizazi vyetu vitakuja furahia rasimali za nchi yao (kama bado zitakuwepo??).....
 
Mpaka sasa CHADEMA ndio chama pekee kilichona mashabiki wengi....Kinaendelea kwenye hit za platnum..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…