Mkigoma hapo ndo mwisho wako wa kutukana au mwisho wako wa kufikiri?
Hivi wataalamu wa IT hakuna njia ya kutufanya tuonekane kila tunapo-post humu ndani,kama ilivyo kwenye skype?maana kuna wengine tungependa kuwaona hatuamini kile wanachokiandika,sasa huenda tunajadili na wendawazimu,sasa hali hii imeshaanza ku-boa sana.