Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013
Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na kampuni ya Shanti mining katika kuhimiza wananchi katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo ujenzi wa vyoo katika shule za msingi, ujenzi wa kituo cha polisi , na ujenzi wa vyumba vya madarasa vyote vikigharamiwa na kampuni hiyo ya shanti mining company.
Je hii ni aina gani ya siasa wanajamvi?.
Hawa viongozi kwa kauli zao wameonyesha masikitiko yao juu ya maamuzi hayo ya chama chao.
Kwani wao kina nani? Waungane na ccm Arusha katika maandamano
Wewe kawaida yako kuita watu mamluki hata zito mlimwita mamluki kisa tu kataka kugombea uenyekiti ndani ya chadema.Hao ni mamluki tu.Kilichowapeleka Star TV kukashifu chama ndiyo nini? Hao ni wafuasi wa Shibuda
Wewe mwenyewe ni mamluki, unatumika kijinga hapa jf kutetea uovu wa waovuHao ni mamluki tu.Kilichowapeleka Star TV kukashifu chama ndiyo nini? Hao ni wafuasi wa Shibuda
Inaonekana unatumia kichwa kufugia nywele peke akeNiliona hiyo habari na nikashangaa sana hawa wanaojiita viongozi wa Chadema wamefikaje kwenye mkutano wa mkuu wa wilaya, lakini baadae nikagundua ni kwenye jimbo la Tundu Lisu.. N hao viongozi sikwamba eti wamefukuzwa laniki eti wanahofia kufukuzwa.. Hizi propaganda tu, nchi haiwezi kupata maendeleo kwa harambee, maendeleo yanakuja kwa kuwatoza kodi wanaostahili kutozwa kodi kwa mujibu wa sheria.. haya mengine ni upuuzi tu na kero kwa wananchi yanapaswa kufutiliwa mbali maana hata bunge halijayatungia sheria..
Siyo hivyo tu bali kavurugwa hayupo sawa.Inaonekana unatumia kichwa kufugia nywele peke ake
Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013
Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na kampuni ya Shanti mining katika kuhimiza wananchi katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo ujenzi wa vyoo katika shule za msingi, ujenzi wa kituo cha polisi , na ujenzi wa vyumba vya madarasa vyote vikigharamiwa na kampuni hiyo ya shanti mining company.
Je hii ni aina gani ya siasa wanajamvi?.
Hawa viongozi kwa kauli zao wameonyesha masikitiko yao juu ya maamuzi hayo ya chama chao.
Chanzo ni star tv habari tarehe 6/10/2013
Mmoja kati ya viongozi hao akiongea na star tv habari ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA wa jimbo la Singida mashariki na wenzake wawili, walidai wamesimamishwa na uongozi wa chama chao kwa mda usiojulikana kisa kushirikiana na uongozi wa wilaya pamoja na kampuni ya Shanti mining katika kuhimiza wananchi katika kuchangia shughuli za maendeleo, ikiwemo ujenzi wa vyoo katika shule za msingi, ujenzi wa kituo cha polisi , na ujenzi wa vyumba vya madarasa vyote vikigharamiwa na kampuni hiyo ya shanti mining company.
Je hii ni aina gani ya siasa wanajamvi?.
Hawa viongozi kwa kauli zao wameonyesha masikitiko yao juu ya maamuzi hayo ya chama chao.
Hili swala liko wazi chadema maendeleo kwao ni halamu yakiwepo maendeleo watakosa hoja za kuwadanganya watu.
wanataka watu waendelee kupata shida ili wao waseme serikali haijawasaidia,
mbunge mwenyewe waliyenaye ni sawa na bule kila siku yupo mahakamani utadhani kazi ya kwa wapiga kula wake.
Ndg ulijitahidi pia kupata habari ya Upande wa Pili illi uBalance stori? au kwakuwa Umeckia nakuona aliekuwa analalamika! Ukaja mbio hapa! Leteni habari zilizokamilika watu wapime Pumba na Mchele!