Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Kuna kitu ninajiuliza kwanini viongozi wanaofukuzwa kwenye nyazifa mbalimbali za serikali hawafanyi vikao vya wazi na waandishi wa habari ili kuujulisha uma nini kimepelekea yeye kufukuzwa. Nahisi viongozi wengi watakua wanatumbuliwa kimakosa lakini nani wakuwatetea( but who to speak for them) nani wakusimama upande wao tusikie story ya upande wapili wa shilingi, wananchi wengi tumekua tukifata mkumbo kwa kusikiliza upande mmoja tuu wa habari.
Nafikiri ni vyema wale wanaotumbuliwa kufanya public conferences kama wamefanya kosa la kiofisi linalogusa wananchi au pesa zao za kodi watuombe radhi, nakama wametumbuliwa kimakosa wajielezee tumjue mbaya nani.
Concerned Citizen.