DPP mpya Mh Biswaro Mganga . mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof Muhongo, Mh Wasira, mwenyekiti wa rasmu ya katiba. mh waripba wote wanatokea mkoa wa mara
misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndo sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara
Wasira for presidency 2015
Hivi kuna sababu yoyote kwa nchi ilipofika kupigia debe mtu kama wasira kuwa rais kweli..?wakati mwingine tuone aibu...upambe unazidi
Bahati mbaya sana kwako ni kwamba, biswalo mganga ni mkala wa UKEREWE, ukerewe iko mwanza sio mara. hivyo kama wasira ametoka ukerewe mkoani mwanza ndio uendelee kuongea. kwa habari ya usafi, yap, ni msafi na yuko very strict.DPP mpya Mh Biswaro Mganga . mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof Muhongo, Mh Wasira, mwenyekiti wa rasmu ya katiba. mh warioba, mh Anthony Mtaka wote wanatokea mkoa wa mara
misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndo sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara
Wasira for presidency 2015
Bahati mbaya sana kwako ni kwamba, biswalo mganga ni mkala wa UKEREWE, ukerewe iko mwanza sio mara. hivyo kama wasira ametoka ukerewe mkoani mwanza ndio uendelee kuongea. kwa habari ya usafi, yap, ni msafi na yuko very strict.
politics is a game ofconvicng. hamna mtu wa ushawishi ndani ya ccm kama Mh Wasira. na huwezi kuwa na ushawishi kama hujui mambo
Wasira for presidency 2014
mkuu wa wilaya unapongeza ukabilaKILA la HERI poti
Mmmmh.
Kwa akili yako Wassira nae anafaa urais.labda Rais wa Comedy
DPP mpya Mh Biswaro Mganga,mwanasheria mkuu na mawaziri wengi tu kama prof. Muhongo, Mh. Wasira, mwenyekiti wa rasimu ya katiba mh. Warioba, mh. Anthony Mtaka wote wanatokea mkoa wa Mara.
Misimamo isiyoyumba na kutokuwa na kashfa za kifisadi ndio sababu kubwa ya Rais Kikwete kuwapenda hawa jamaa wa mkoa Wa Mara.
Wassira for presidency 2015.
KILA la HERI poti