Viongozi hawa watimkia ADC

hIKI CHAMA NI COPY AND PASTE YA HIKI:
 
hIKI CHAMA NI COPY AND PASTE YA HIKI:
 
kwa kweli hili chama langu la cdm linanikosha sana,mambo shwaaaaaaaaariiiiiiiii,da aiseeeeeee hadi rahaaaaaaaaaaaaa..

tunapaswa kuwa makini sana na hawa wanaohamia kutoja vyama vingine. Ni rahisi sana kwao kurubuniwa na kurudi walikotoka. Tunastahili kukazana kujenga chama kwa kukusanya damu changa isiyo na harufu ya vyama vingine ile wakulie cdm. Ni wachache sana wenye msimamo wa kuendelea kukijenga chama.
 
Busara ipi hapo mkuu kama siyo kuua upinzani na kuzibiana riziki kwa wivu na tamaa ya ubosi

Mkuu kuua gani upinzani? Kwani tangu lini CUF wakawa wapinzani? Hawa ni CCM B Period!
 
Madiwani wa CUF kujiunga chadema soon baada ya uchaguzi wa CHADEMA
 
Kama bwana Jumanne Mtatiro sorry Bwana Julius Mtatiro yuko mtu makini basi tutarajie kuwa si muda mrefu ujao atatangaza kujiunga na CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…