Ndungu wanajamvi,
Ukweli ni kuwa viongozi wetu wa kitaifa wa CHADEMA wametusaliti wanachama kwa kutuambia mambo mengi harafu wanatekeleza kinyume chake. Kwa mfano, suala la idadi wa wabunge wa Afrika Mashariki tulikubaliana kuwa tutaendelea kupeleka walewale wawili na viongozi wakatoa matusi kwa Mh Rais, Speaker an CCM kwa kushindwa kuwapitisha. Wananchana na sisi tukatukana serikali, bunge na CCM kupitia mitandao na tukaahidi kuwa hatutabadilika.
Sasa leo viongozi wanaamua kupeleka wangome 6 bungeni kinyume na tulivyokuwa tumekubaliana. Kumbuka hawa viongozi walikuja na ukuta mara kata funua mara dikteta lakini pote hakuna kilichotekelezwa, hii inahuzunisha sana. Viongozi kusema kimoja nakutekeleza kitu kingine, hii ni usaliti mkubwa.