killian2016
New Member
- May 28, 2015
- 2
- 0
Ukisoma masonic bible. Tembo ni ishara ya power, pia hutumika katika rituals zinazotak ku sumon miungu fulani yenye nguvu.
Kuna Muungu hata kwa wahindu wanao wanaita Ganesha.
Masonic hutumia pia as power symbolism
Kwa hiyo mkuu.........huyu tembo wangu ni ishu sio..............
Huyu naye alikuwa na roho wachafu wenye mikosi
kwa sasa yuko jumba la makumbusho
unaweza kum....google
''Robert the doll''.
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Mshana kwisha habari yake.Kuna mtu amemteka fikra anahitaji msaada wa Kiroho
Mbona imekaa kama chocolate hahaha
Kuna watu hawana uwezo wa kuishi maisha yao wenyewe kwa kumtegemea Mwenyezi Mungu hivyo hutafuta support ya madubwana kama hilo!kwa haraka utadhani ni pambo lakini nyuma yake kuna siri kubwa
Ha ha haaaaa, bora hata iwe hio chocolate. Angalau ntakula ntafaidi
I see.
Now hata cakes za designs za wanyama na cartoons sifanyishi tena.
Aisee nina vinyago viwili vya kimakonde nililetewa na mdogo angu alipoenda site ntwara..mda huu nasoma hii kitu naviangalia kwa umakini sana.mwenyewe akiclaim kanunua kwa gharama kweli.ila ss napoteza mzuka wa kuendelea kuviweka ndani,kumrudishia siwez na wala kuvitupa si hekima.i guess something went wrong..mmhh ulimwengu wa roho ni mpana sana yani.
Ha ha haaaaa, bora hata iwe hio chocolate. Angalau ntakula ntafaidi