Vingine ni vya kurithi

Hawa ******* wengi watoa ushauri huwa siwaelewi kabisa. Wajinga tu.
 
Nimeishiwa pozi baada ya kuona picha ya Mauki ikisindikiza mada!
 
Mm nahisi nimerithi ubahiri,,yaani kutoa pesa kumpa mwanamke,hapana kwa kweli bora Me naweza kumpa kama msaada kiroho safi,na hata ikitokea nimempa Ke pesa basi kiasi hakizidi tarakimu nne tu,vinginevyo bora mapenzi yaishie hapo
 
Nirithi vingine lakini sio kile kitabia cha kutuma tuma hovyo hata kama kitu kipo mbele yako mtu anakuita umpe bila kujali ulikuwa unafanya nini. Kilikuwepo sana nyumbani [emoji51][emoji51]
Kuna shosti hapa wafanyakazi hawakai wakikaa sana miezi mitatu.
Hagusi kitu hata kusogeza kitu anaita aletewe.
Halafu watu wa hivi ni wale wa mbona hujafanya hivi pale hapako sawa ila yeye hawezi kufanya.
Sasa hivi anasaidiwa na nduguye mana hana wakumuachia mtoto akienda job ila ndio hivo hagusi chochote ukienda kila kitu kinakusubiri.
Hadi kuangalia mtoto wake mwenyew anaita fulani njoo chukua mtoto analia kha!
 

Yani hiyo tabia siipendi Mungu aipitishe mbali nami maana ni kero sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…