trisha cute
Senior Member
- Dec 1, 2020
- 194
- 607
Umeiweka imekaa kama kiutani utani vile lakini kumbe ni ukweli mnene sana... aisee kuna watu wanarithi hiyo kitu kabisa hata mimi nathibitishaDah sasa sie tuliorithi tabia ya kugegeda papuchi tofauti itakuwaje kueleweka
Dah sasa sie tuliorithi tabia ya kugegeda papuchi tofauti itakuwaje kueleweka
Aise hii nzuri sana😋Future huby!!
Mm sitosema hapa seblen. Njoo chumbani ndo ntakwambia😂😂
Mhm atakubali? Ila hizi tabia za ugegedaji kwenye ukoo wetu ni balaaa....Mkuu mueleze TU ukweli kuwa umerithi hiyo Tabia.
Iyo naona ni emergency case sasaSie tulirithi kutia makofi wapumbavu sijui tuna nafasi gani...
Mhm atakubali? Ila hizi tabia za ugegedaji kwenye ukoo wetu ni balaaa.
Alafu bwana wote fate yao moja tuu...kulogwa na vismall house
Mhm atakubali? Ila hizi tabia za ugegedaji kwenye ukoo wetu ni balaaa.
Ndio hivyo tatizo huwezi chagua unazaliwwa kwenye ukoo gani.....
Huyu ni mama.Natamani ningerithi Tabia A Mama yangu... Mpole, busara,hekima, mpenda Amani...Msaidia wahitaji, mwenye huruma, msiri kwa Mambo yasiri, Sio mlopokaji..mtu mwema sanaaaa...
My friend my mom