Ving'amuzi

Ving'amuzi

lucas swai

New Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Jaman mmi nina swali
Je nkiset satelite ya startimes wanayotumia na kwenye reciever ya mediacom ntaweza pata channel zote zinazorushwa na startimes kwakua kuna kipindi nlikua na continental decoder na yenyeweilikua simple nkifanya autosearch inanyaka chanel zote za star times na inazirusha free sometimes.

Tatizo la pili nina decorder ya easy television niliinunua dar mda kidogo sasa kwa sasa nikisearch chanel nikiwa arusha zinakuja nyingi ila tatizo ni kwamba zinaenda upande wa redio na sio Tv, ata kureset still iko ivo ivo sasa hii naifanyaje au labda kama kuna anaejua software na firmware za ku flash anijuze ninunue seria cable (rs 232) ili niiflash mayb itafanya kazi baada ya hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauliza nakujijibu wewe noma

Swali lako jibu lake n Ndiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom