Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,933 Reaction score 4,709 Apr 25, 2012 #1 Hivi kweli hawa jamaa wa ATN wana utaalamu ama wataalamu wa kuwawezesha kuchukua hii kazi ya mabadiliko ya analogy to digital nchini. Mbona majaribio yao hayaonyeshi kama wanaweza? Mpira wa uefa leo kupitia hawa mawakala ATN ni kichekesho. .
Hivi kweli hawa jamaa wa ATN wana utaalamu ama wataalamu wa kuwawezesha kuchukua hii kazi ya mabadiliko ya analogy to digital nchini. Mbona majaribio yao hayaonyeshi kama wanaweza? Mpira wa uefa leo kupitia hawa mawakala ATN ni kichekesho. .
M Mboerap Senior Member Joined Apr 8, 2012 Posts 157 Reaction score 21 Apr 26, 2012 #2 Kichekesho gani? Fafanua na sisi wa mikoani tujue