Vina vilikua zamani

Me nilietoa post ndio kwanza nina 26yrs lakn pamoja na yote unayosema ukwel usiopingika ni kwamba kwa sasahv mziki hakuna mziki ulikua zaman ndo mana hata nyimbo ziliweza kuishi mda mrefu bila tatizo mfano wimbo wa dhahabu wa dully sykes ni wa mda lkn ukipigwa mpk sasa unabamba na sio huo tu mizik ya zaman ilikua mizuri tofaut na sasa
 
So sad ani[emoji58]
 
Kweli mkuu ukisikiliza nyimbo kama
Nalivua pendo wa Mwasiti au Utanikumbuka wa Vumi yaani yale mashairi yanaingia hadi kwenye mifupa.
 
Mnaeza mkaishi sana, ila mkaona machache
 
Mziki wa zamani ukipigwa ata leo bado unaleta hamasa flani hivi ila hizi za saivi ni short trend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…