Bado hujasema weweWakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari nimekuwa nikicheza kamari tokea nikiwa la nne,Tena mpaka na sahau kulaa,mitaa ya sanawari arushaa...nikaingia kwenye kundi la uchokoraa mitaa ya town Arusha mjini.....nikahamia kwenye uhuni wa kwenda kwenye makonstii down town na kujiunga kwenye magengee ya ajabu ajabu....wazazi wakastuka wakanitupa form one bodigiii skul huko ndo niaribikiwa zaidi kuvuta Jani...kuchanganya na valiam au peritoni....nashukuru sikuangukia utejaa.
UchawiWakuu habari ya mida!embu tupunguze stress kidogo maana maisha Ni haya haya Sina badilika tarehe tu. Nikweli tumepitia mengi Ila katika vilivyo niharibu tokea nikiwa mdogo kwangu Ni hivi...kamari nimekuwa nikicheza kamari tokea nikiwa la nne,Tena mpaka na sahau kulaa,mitaa ya sanawari arushaa...nikaingia kwenye kundi la uchokoraa mitaa ya town Arusha mjini.....nikahamia kwenye uhuni wa kwenda kwenye makonstii down town na kujiunga kwenye magengee ya ajabu ajabu....wazazi wakastuka wakanitupa form one bodigiii skul huko ndo niaribikiwa zaidi kuvuta Jani...kuchanganya na valiam au peritoni....nashukuru sikuangukia utejaa.
Sasa bro mbona umeacha hyo mambo si naskia kuruka na ungo usiku raha sna na kuzunguka uchiUchawi
Ulozi
Ushirikina
Hivi vitatu nimefanya navyo kolabo sana
Kulala makaburini...kwenye miti...kwenye mapango..mochwari...nknk
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Kuna karaha na hatari zake piaSasa bro mbona umeacha hyo mambo si naskia kuruka na ungo usiku raha sna na kuzunguka uchi
Waweza share kidogo kaka?
Hivi kuna tofauti gani kati ya uchawi ulozi na ushirikina?Uchawi
Ulozi
Ushirikina
Hivi vitatu nimefanya navyo kolabo sana
Kulala makaburini...kwenye miti...kwenye mapango..mochwari...nknk
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Kid can killVILI-NILI by Spark Dog
by Kitabu na checheKid can kill
Umebigidi umeboost?by Kitabu na cheche
MashaAllah....Nilivyo viharibu.....vijana wengi kuwawashia gari la kumokuu ganja kuchanganya na valium now wengi wamekuwa mateja kabisaa,wanafunzi wengi wakikee niliwarubuni na kuwaharibia masomo....wengi walio kuwa wafuasi wangu wemekuwa marehemu na wengine wako jelaa.kwa Sasa Mimi Ni kijana mtiifu na baba wa familia,mstarabu na mwenye hofu ya mungu nilisha tubu zambi zangu