stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Aug 10, 2012 #1 vilaza: wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita kwa style hii...!!
vilaza: wakizinduka hapo ni ama wagonge meza au waunge mkono hoja wasiyoijua sio lazima kuhudhuria vikao kama hauwezi kuwakilisha waliokutuma. inawezekana sheria ya kinyonyaji ya kuhusu mafao ya wafanyakazi ilipita kwa style hii...!!
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,944 Reaction score 43,609 Aug 10, 2012 #2 Kweli kabisa na siku wataota bungeni na kuanza kukimbia hadi kwa spika.
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Aug 11, 2012 #3 Huu uzi unabaka na kunajisi hili eneo uhamishie kule kunakostahili yaani siasani.