Vilabu vya soka Marekani kusini vipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Tunaamini nchi ya Brasil ni mahiri mno kwa soka na ndio maana watu wengi huipenda timu yao ya taifa hasa mie. Jambo linalonishangaza ni kuona hivi karibuni vilabu vyao vikicheza na vilabu vya Ulaya vinabugizwa mabao mengi na kama wanafundishwa kucheza soka, najiuliza kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…