Vikao vya Harusi Vimepitwa na Wakati?

umenena vyema mtumishi
Cheti mkuu..una umri gani kwani,mbona ni wazi lazma ndoa itambulike kiserikali so lazma kuwe na kuwafungsha kutokana na imani au makubaliano yenu
 
Huu ni utamaduni! Kama hutaki vikao basi msifanye sherehe... Q.E.D
 
Bora harusi za kiislam tu unamuita shehe anafungisha pale mnakula kama maandazi na chaji au ki pilau chenu watu wanasepa hakuna stress
 
Huyo mtitu anaoa mara ngapi



(Mwigizaji wa filamu nchini William Mtitu yupo kwenye mikakati ya kufunga ndoa Septembe mwaka huu. Vikao vimeshaanza katika kurekebisha mambo ya harusi yake, ambayo mwenyekiti wa kikao cha harusi yake ni Jacob)
 
Kama umeshaoa/ kuolewa kwenye harusi yako kulikuwa na vikao? Na Kama yes, kwanini ukufikiria ili wakati huo na unaona sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…