Vijimambo vya wadada wakiwa posta-DSM

Kuna namna za kuwanasa tena kiulainiii... Inategemea na gea. Tena ukishapiga mara moja ya pili unachagua kiwanja hata mchangani mechi inapigwa. Wengi wao njaa kali. Ni gea tu!
 
Vipi mlimani city mkuu ushapita mitaa hiyo ni kama new yorke au la
 
JF inaperuziwa dunia nzima.Ukitaja sehemu i-specify mji,nchi n.k. ueleweke.Posta, Nakuru central in Kenya?
 

nani alikudanganya maendeleo yanapatikana posta pekee?
 
Mara nyingi maeneo hayo huwa ni maeneo ya kazi na kuna maofisi mbali mabali......Watu huwa hawana muda wa kupoteza....kila mtu yupo bize na lwake...labda kama mtoa mada ni mzururaji...........
i think you are right
 
Acha wanaume wa daresalame waitwe "wanaume wa daresalame" hivyo hivyo!
 
Mtu mshamba always akipata kidogo atataka kuishi in extravagant manner but walio nazo huwa wametulia koz wanajua zipo tuu...?soo hao mamanzi ni washamba na kujizungushaga Posta ndo tabia yao....?
 
Duu kwa kweli ni shida, cha ajabu salamu kwao ni kutongozwa, sio kujuliana hali. We mwambie tu habari yako uone kama unajibiwa.....
Lkn tunapaswa kujua hawa viumbe wapo kwa sbb wanaume tupo, ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…